Friday, January 11, 2013

HATIMAE BIHARUSI AKIMBIA UKUMBINI

Katika maeneo ya bombo area watu wengi walikusanyika katika harusi ya msichana mmoja anaetambulika kwa jina la LATIFA JAMAL.